PostGE2025 Taasisi za Dini, mashirika ya serikali/yasiyo ya serikali na makampuni yote kemeeni na kuonya juu ya majaribio ya uvunjivu wa amani nchini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waongee na waumini wao watawala juu ya ubaya wa kupora haki za watu kwa kuteka, kuua, kupoteza, kuiba uchaguzi, ufisadi na kufungulia watu kesi za kisiasa.
Naomba nikuulize swali la msingi, unaijuaje haki yako ?

Na wewe unaijua haki yako juu ya nchi yako ? Viongozi wako ?
 
Hiki kizazi cha 1998 => kipo tofauti na sisi.

Kizazi hiki kinahitaji watu kama nyinyi wa kuwahamasisha tu, lakini ni kizazi ambacho kwao wao maisha ni kubet, kuingia tik tok, anasa na mfano wao
Ndio maana ni rahisi sana kukihamasisha kufanya ujinga. Ni kizazi ambacho hakina maadili.
 
Sidhani, kinaweza kiwe na maadili au kisiwe nayo ila kipo tofauti. Kizazi chako kimelelewa katika misingi ya woga, kutishwa na kukubali kila kitu.

Hiki cha sasa hakikubali kila kitu ili mradi tu. Nadhani ukisema hakina maadili unakosea.
 
Sidhani, kinaweza kiwe na maadili au kisiwe nayo ila kipo tofauti. Kizazi chako kimelelewa katika misingi ya woga, kutishwa na kukubali kila kitu.
Kizazi chetu kimejengwa katika usahihi na ufanisi, na kitanguliza maslahi ya wengine dhidi ya wachache na umakini wa hali ya juu.

Shida yenu nyinyi bado mna maarifa madogo sana na kwa mtindo huo hamtafanikiwa zaidi ya kuwa watu wavurugu na hamasa hasi. Huwezi kumnyooshea kiongozi kidole kwamba yeye ni fisadi wakati wewe raia naye unakwepa kodi, raia unacheza kamari, raia mzinzi, raia mwizi, raia muongozo.

Tengenezeni viti vyenu kwanza kisha mvipambe, haya mambo yana mahusiano makubwa sana, hili hawalioni isipokuwa wale wenye akili timamu na maarifa.
 
Kizazi chetu kimejengwa kwenye misingi ya woga, wala usibishe. Hapo ulipo huwezi hata kusimama mbele ya watu mia ukatoa hoja ya kueleweka. Hawa wa sasa ni watu tofauti kabisa, elewa hivyo!!
 
Hiyo huwezi wewe, na kusimama mbele ya watu na kutoa hoja si hoja, hoja ni umakini na akili timamu.

Kizazi hiki ni kizazi cha kwao wao bandle la internet ni bora zaidi. Kwa ujinga wenu mmesahau hivi karibuni tu mlikuwa mbakilalamikia kizazi hiki kwa kujikita kwenye mambo yasiyo kuwa na faida kama ushabiki wa mpira ulio pindukia, kubet, kuchagua kazi, kuwaza mapenzi kila wakati na ujinga mwingine, halafu unasema ni watu tofauti ?

Acheni kupeleka mambo kwa hisia,naonekana vituko mbele ya watu makini na wenye akili timamu.
 
Sasa hapo unawaomba au unatoa onyo?

Mwandiko wako tu unazihirisha low iQ, pia ujana bdo unakusumbua upo stage ya foolish age.
amka jitambue Mungu anaona na dunia inalipa kwa ukitendacho kibaya au kizuri
Na bdo mpaka mtatoa uhaloo mwekundu.
 
Hiyo nguvu ungetumia kumshauri kiongozi wako kua mda wake ulifika tamati.
 
Wale wapiga nyeto wameporwa bandari yao hawatakubali. Serikali ifuate ushauri wa Mzee wa Upako tu.
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Walionya, Nawewe utawaonya wale wasiotoa Haki??.
 
Watu walipokuwa wakitekwa na kuokotwa wamekufa ulisimama kuomba viongozi wakemeee? Actually, walipokemea mliwabeza viongozi wa dini na kuwatusi. Tulieni dawa iwaingie. D9 natoka na bango ninalo tiyari.
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Hakuna amani bila haki.

Huelewi wapi?
 
Back
Top Bottom