PostGE2025 Taasisi za Dini, mashirika ya serikali/yasiyo ya serikali na makampuni yote kemeeni na kuonya juu ya majaribio ya uvunjivu wa amani nchini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu nimewaponda ma TEC kivipi
Uzi uandike wewe kwa kebehi halafu uniulize mimi tena?

Soma uzi wako au ndio zile hashtag mmnapewa kwenye magroup yenu na kina Msigwa unabeba na kuleta bila kusoma kilichoandikwa?
 
Mwalimu kilaza hii kandarasi ya kusafisha wauaji utaikataa tu mwaka huu.

Huu uzi wako saa hizi unasema viongozi wa dini wakemee unachokisema.

Halafu huu uzi wako hauna hata saa 1 nyuma umewaponda TEC.

Hizi pesa za uchawa mwaka huu zinakwenda kufutwa kabisa .

Tanzania haikuwa na amani bali uvumilivu ambao nao ulikua unalazimishwa na mitutu ya bunduki

Ila kwakua watanzania wamezisikia bunduki na mabomu tarehe 29 huku wakiona ndugu zao wakifia majumbani kwa kupigwa risasi vichwani.

Saa hizi hatuongelei hata huo utulive bali kisasi na lazima kilipwe .
Nalipwa na ford foundation 🤣🤣
Si kila mtu analipwa na sidhani Kama Kuna watu wanalipwa...Ila chadema inasemekana wanalipwa na Ford foundation ili wafanye vurugu nchini
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Kwenye Imani yenu kuiba kura si dhambi?
 
Loh! Wewe unaonekana ni mtupu kabisa, umekosa maarifa.

Ungekuwa na akili japo kidogo kabisa, ungejua kuwa mwenye uwezo wa kuzuia uvunjifu wa amani ni yule aliyeutengeneza.

Mvunjaji mkubwa wa amani wa nchi hii ni serikali kupitia watawala dhalimu.

Huwezi kuteka na kuua au kupoteza watu, halafu ndugu na jamaa za waliotekwa wakiamka na kuandamana, useme wanavunja amani.

Shetani wetu wa kuharibu amani ya nchi ni watawala na CCM. Hawa wamebobea katika ushetani wa hali ya juu ambacho hakuna mwenye akili anaweza kuvumilia.
 
Umeandika manini haya mkuu
 
Mashetani mengine wala hata sio ya kuhangaika kuyajibu. Mleta mada anapaswa kuuawa
 
Mkuu
AMANI ni msingi wa yote tuilinde tusiruhusu Vurugu nchini

..serikali ikomeshe utekaji, na iwachukulie hatua za kisheria wote waliohusika.

..pia waliohusika kuongoza matukio yaliyosababisha mauaji ya raia Oct 29 wachukuliwe hatua za kinidhamu, na kisheria.

..serikali ihakikishe miili yote ya wananchi waliopotezwa kabla ya Oct 29, na waliouwawa siku hiyo, inapatikana.

..hayo yakifanyika tutakuwa tumefungua milango ya maridhiano.
 
Hakuna utekaji nchini
 
Taasisi za Dini, mashirika ya serikali/yasiyo ya serikali na makampuni yote kemeeni na kuonya juu ya majaribio ya uvunjivu wa amani nchini
Kivipi?
Gwajima alikemea utekaji na mauaji ya Watanzania yanayofanywa na watawala wa ccm akafungiwa Kanisa
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Wangeanza kumkamata mvuta bangi mkata vichwa kwa kuhamasisha masacre.
 
uvccm acha kuweweseka. Waachie vijana wanaojitambua kuipambania nchi yao ya Tanganyika. Kama ukiona huwezi kuishi bila ya uchawa, hamia Kizimkazi ukamburudishe mama wanu kwa kumuimbia taarabu.
Msije mkasema hamjaambiwa.

Tambua wewe ni mama,lazima uwe na uchungu na mwanao usifuate mkumbo wa TEC,wenzako wale wanakufa na nyege.zao hawana hata mtoto kwahiyo ukiishi kuwafuata wale uzao wako utaangamia wewe mama
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Mbona mnawasiwasi sana
 
Back
Top Bottom