PostGE2025 Taasisi za Dini, mashirika ya serikali/yasiyo ya serikali na makampuni yote kemeeni na kuonya juu ya majaribio ya uvunjivu wa amani nchini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
 
uvccm acha kuweweseka. Waachie vijana wanaojitambua kuipambania nchi yao ya Tanganyika. Kama ukiona huwezi kuishi bila ya uchawa, hamia Kizimkazi ukamburudishe mama wanu kwa kumuimbia taarabu.
Mkuu
AMANI ni msingi wa yote tuilinde tusiruhusu Vurugu nchini
 
Waongee na waumini wao watawala juu ya ubaya wa kupora haki za watu kwa kuteka, kuua, kupoteza, kuiba uchaguzi, ufisadi na kufungulia watu kesi za kisiasa.
 
tapatalk_1439129242584.jpeg
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Walioua ndugu zetu wameshawajibika?
 
Mkuu
AMANI ni msingi wa yote tuilinde tusiruhusu Vurugu nchini
Amani bila haki ni bure kabisa. Kama nyie mnavyolia huko Ulaya kutaka natural justice, kutaka kudikilizwa, hakikisheni mnawasikiliwa wananchi, tendeni haki, timizeni wajibu, msijifanye kama vile nchi hii imeumbwa kwa ajili yenu mbogamboga.

Hiki kizazi cha 1998 => kipo tofauti na sisi.
 
Habari za leo ndugu zangu Watanzania.
Husika na mada tajwa hapo juu nimekuja mbele yenu kutoa ushauri wangu ili kuimarisha AMANI nchini mwetu.

Hivyo basi nashauri Taasisi na makampuni yote nchini kuhubiri AMANI na kuonya dhidi ya vitendo vyovyote vitakavuohatarisha ustawi wetu, tuongee na wazazi wawakanye Watoto wao, tuongee na wafuasi wetu wa kiroho juu ya umuhimu wa amani, kila mtu popote alipo asisitize AMANI kama nguzo na UTI wa mgongo wa uchumi wetu wa TANZANIA, asiwepo mtu wakugusa nyara hii adimu kwa jina la AMANI akabaki salama, tuwaonye na kuwakanya wote wasioitakia mema Tanzania yetu.

Ndugu Watanzania na vijana wenzangu huu ni msimu wa kilimo tuwekeze huko, ni msimu wa kuwaandaa watoto wetu ili waende shule mwezi January tufanye maandalizi, ni msimu wa kutafuta vipato vyetu tufanye hivo huku tukisistza umuhimu wa amani yetu. Msingi wa hayo yote ni AMANI, TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KWA NGUVU ZETU ZOTE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
AHSANTE KWA KUSOMA UJUMBE HUU
Weka ushahidi ni wapi kura 31m zilitokea, hapo ndipo amani yetu ilipo. Kama huna ushahidi basi tulia tuandamane hadi asiwepo mwingine wa kuthubutu kujiweka tena madarakani bila ridhaa ya wananchi, na umwagaji wa damu.
 
Mwalimu kilaza hii kandarasi ya kusafisha wauaji utaikataa tu mwaka huu.

Huu uzi wako saa hizi unasema viongozi wa dini wakemee unachokisema.

Halafu huu uzi wako hauna hata saa 1 nyuma umewaponda TEC.

Hizi pesa za uchawa mwaka huu zinakwenda kufutwa kabisa .

Tanzania haikuwa na amani bali uvumilivu ambao nao ulikua unalazimishwa na mitutu ya bunduki

Ila kwakua watanzania wamezisikia bunduki na mabomu tarehe 29 huku wakiona ndugu zao wakifia majumbani kwa kupigwa risasi vichwani.

Saa hizi hatuongelei hata huo utulivu bali kisasi na lazima kilipwe .
 
We mtoa mada ni maku asiye na chembe ya akili 😎.

Wewe ni upinde 🌈 wa mvua.
 
Mkuu
AMANI ni msingi wa yote tuilinde tusiruhusu Vurugu nchini
Amani ipi yaan mtu akiisema tu serikali katekwa, kapotezwa kauwawa au kapewa kesi ya uhaini.Mnataka taifa la mabubu mafara mapoyoyo ******* baridi ... Hilo halipo acha tugawane mbao hakuna heshima inapatikana kwa bure
 
Mwalimu kilaza hii kandarasi ya kusafisha wauaji utaikataa tu mwaka huu.

Huu uzi wako saa hizi unasema viongozi wa dini wakemee unachokisema.

Halafu huu uzi wako hauna hata saa 1 nyuma umewaponda TEC.

Hizi pesa za uchawa mwaka huu zinakwenda kufutwa kabisa .

Tanzania haikuwa na amani bali uvumilivu ambao nao ulikua unalazimishwa na mitutu ya bunduki

Ila kwakua watanzania wamezisikia bunduki na mabomu tarehe 29 huku wakiona ndugu zao wakifia majumbani kwa kupigwa risasi vichwani.

Saa hizi hatuongelei hata huo utulive bali kisasi na lazima kilipwe .
Mkuu nimewaponda ma TEC kivipi
 
Back
Top Bottom