Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya FBO ada zao zinachezea kwenye 3M na kuendelea sasa hawa wanatofauti gani na wafanyabiashara wa kawaida?
Ni wakati sasa TRA iingie huku, mafuta ya upako chupa ya 20mills inauzwa 5000 Tsh, wakati Chupa ya bia yenye 500mills inauzwa 2000 Tsh hii sio huduma, ni biashara, na wizi
serikali isije ikaingia kwenye huu mtego