- Thread starter
- #21
ili wajue kama zaka unayotoa inaendana na kipato chakoKwanini mtoaji/donor anapaswa kujaza fomu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ili wajue kama zaka unayotoa inaendana na kipato chakoKwanini mtoaji/donor anapaswa kujaza fomu?
duhili wajue kama zaka unayotoa inaendana na kipato chako
😂😂😂Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya FBO ada zao zinachezea kwenye 3M na kuendelea sasa hawa wanatofauti gani na wafanyabiashara wa kawaida?
Ni wakati sasa TRA iingie huku, mafuta ya upako chupa ya 20mills inauzwa 5000 Tsh, wakati Chupa ya bia yenye 500mills inauzwa 2000 Tsh hii sio huduma, ni biashara, na wizi
serikali isije ikaingia kwenye huu mtego
View attachment 2237139
Kwani hizo huduma unazosema zinatolewa bure?We ni punguani, tangu uhuru taasisi hizo hazikatwi kodi kwa kuwa serikali haina uwezo wa kutoa huduma za kijamii hasa kule periferry.
Taasisi za dini zimesaidia kutoa huduma hada afya na elimu nchini kwa zaidi ya 70%
Serikali haikuwa na shule za kutosha ilitaifisha shule za hizo taasisi, haikuwa na haina hospital za kutosha kubwa na ndogo,
.sasa ukituwekea utaahira wako hapa ni bora mngenong'ona we na mumeo chumbani baada ya shughuli.
Uko sahihi kabisa,Yesu alifukuza wafanyabiashara hekaluni akapindua meza zao akawambia nyumba yangu itaitwa nyumba ya Sara,Leo wafanyabiashara madhabauni wamerudi Kwa kasi Sana,Wanauza mafuta ya upako,maji ya upako,keki ya upako,vitambaa vya upako,chumvi za upako,wengi ni mabilionea wakubwa hawana biashara yeyote yenye TIN no hawalipi Kodi hawana faida Kwa Taifa.Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya FBO ada zao zinachezea kwenye 3M na kuendelea sasa hawa wanatofauti gani na wafanyabiashara wa kawaida?
Ni wakati sasa TRA iingie huku, mafuta ya upako chupa ya 20mills inauzwa 5000 Tsh, wakati Chupa ya bia yenye 500mills inauzwa 2000 Tsh hii sio huduma, ni biashara, na wizi
serikali isije ikaingia kwenye huu mtego
View attachment 2237139
Zitajiendeshaje kama hazi charge garama walau ndogo ili ukijumlisha na kodi isiyolipwa ziweze kuendelea kutoa hudumaSawa tangu uhuru hazikatwi kodi lakini tunaona izo taasisi zinafanya biashara kama wafanyavyo wafanyabiashara wengine.
Hospital zao hawatibu bure,
Shule zao hawasomeshi bure,
Kama utaratibu nikutotoza kodi kwa taasisi zinazotoa huduma za kijamii basi shule binafsi na hospital binafsi nazo zisitozwe vilevile,
Kwasasa sioni tofauti ya taasisi za kidini na wafanyabiashara wengine.
Nimewapata ila inatia hasira watu wanatumalizia mb kwa makusudi bila kutumia ubongoHEKIMA na BUSARA ni mambo ya muhimu kila mtu anapaswa kuwa nayo
Shule za seminari(za kiislamu na kikristu ) zaman zilikuwa hazitozi adaPunguani ni wewe! Hujui kuwa mtu au taasisi yeyote ikitoza hata shillingi kwa mintarafu ya kutoa huduma zake, kutozwa Kodi hakukwepeki! Shule si wazazi wanalipa Ada? Kama wanalipa, Kodi ni halali kulipa.
Gharama zao sio walau kidogo, zinalingana tu nawatoa huduma binafsi wengine.Zitajiendeshaje kama hazi charge garama walau ndogo ili ukijumlisha na kodi isiyolipwa ziweze kuendelea kutoa huduma
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Changamoto Ni kawaida mkuu hapa duniani Jambo la muhimu Ni kuchagua njia iliyobora yakukabiliana na kila aina ya changamoto inayokukabali hasa isiyo vunja utu wa mtu yoyote hio ndio njia bora👍Nimewapata ila inatia hasira watu wanatumalizia mb kwa makusudi bila kutumia ubongo
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Lini? Acha uongo!!!!!!!!!!Shule za seminari(za kiislamu na kikristu ) zaman zilikuwa hazitozi ada
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
1. Sababu halisi za taasisi za kidini kutolipa kodi ni zipi?We ni punguani, tangu uhuru taasisi hizo hazikatwi kodi kwa kuwa serikali haina uwezo wa kutoa huduma za kijamii hasa kule periferry.
Taasisi za dini zimesaidia kutoa huduma hada afya na elimu nchini kwa zaidi ya 70%
Serikali haikuwa na shule za kutosha ilitaifisha shule za hizo taasisi, haikuwa na haina hospital za kutosha kubwa na ndogo,
.sasa ukituwekea utaahira wako hapa ni bora mngenong'ona we na mumeo chumbani baada ya shughuli.
na hizo taarifa zinakaguliwa na nani please?ili wajue kama zaka unayotoa inaendana na kipato chako
justification yake ndo hiyo tu basi mpaka ukaruka na suluhisho la taasisi kutozwa kodi?afterall hata hako kajifomu katakuwa ni feki tu hata hakana nyama.ungeenda mbali zaidi na kutoa mifano kadha kwa kadha labda tungeona hoja yako lkn kwa hicho kijifomu tu bado sishawishiki kuunga mkono hoja yako.Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya FBO ada zao zinachezea kwenye 3M na kuendelea sasa hawa wanatofauti gani na wafanyabiashara wa kawaida?
Ni wakati sasa TRA iingie huku, mafuta ya upako chupa ya 20mills inauzwa 5000 Tsh, wakati Chupa ya bia yenye 500mills inauzwa 2000 Tsh hii sio huduma, ni biashara, na wizi
serikali isije ikaingia kwenye huu mtego
View attachment 2237139
si lazima kutoa zaka bali ni takwa la kiimani na kama wewe si mwumini na huna imanihulazimishi kutoa baki kama ulivyo.ya kaisali mwachie kaisali na ya Mungu mwachie Mungu hivyo ni juu yako kusuka au kunyoa.Naomba kuuliza iyo zaka inatofauti na kodi wanayotoza tra kwenye faida inayopata biashara. Inatofauti gani na payee. Tena wenyewe wanataka utoe 10% ya kipato chako. Ili ndio jambo ambalo nishakwaruzana na paroko.
Ukweli kanisani tunachanga pesa ujenzi wa shule, hospital ila waumini hatupati relief yoyote kupitia tulikijenga.
Sahizi muslim nao wameshituka wameanza kuanzisha taasisi zao kuongeza kipato