Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Mkubwa wao Haloteli
jichanganye ukosee kutuma pesa, ndo utaisahau kabisa, unaweza ukawapigia simu mwaka mzima hawapokei.
HALOTEL mataccor yenu... elfu 17 yangu😡
😡😡😡
Daaahhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana mkuu
 
RITA inabidi iwe namba moja , ukiwapigia mida au siku ambayo sio ya kazi wanasema huu sio muda wao na wanakutajia muda rasmi wanaopatikana sasa ukiwapigia kwenye muda rasmi inaiita wanaleta tangazo kisha inajikata.
 
Achana na simu, angalieni hata websites za taasisi za serikali, utafikiri zimedizainiwa na mtoto wa darasa la 4.
 
HESLB (Online Application)
RITA (Hawajalipia simu zao)
 
Kuna
1. COSOTA
2. TRA
3........
Taasisi zote za serikali zimeweka zile namba kwenye website kama urembo tu.

Hata za Utumishi ngazi ya Taifa hawapokei

Ni Ushamba tu wa teknolojia na mawasiliano, sasa waliziweka zanini?
 
Tigo

TIGO ukiwapigia chagua kuongea na mhudumu in English chap wanapokea wanajua mzungu kumbe uko Mbagala, unamaliza , ukipiga kiswahili wanajua wa matopeni basi saa 4 asubuhi unaacha cm inaita unaenda kuoga kisha unavaa nguo na kwenda kula huku unacheki muvi ukimaliza kula ukija saa 10 jioni unakuta bado cm inaita na haijapokelewa!
Hao Tigo ndio KERO KABISA
 
Nadhani wanaotumia upande wa lugha ya english ni wachache thus wahudumu huko wapo idle
 
Back
Top Bottom