Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Mkubwa wao Haloteli
jichanganye ukosee kutuma pesa, ndo utaisahau kabisa, unaweza ukawapigia simu mwaka mzima hawapokei.
HALOTEL mataccor yenu... elfu 17 yangu😡
😡😡😡
Mkuu pole sana! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilipiga ofisi za halimashauri , namba 0222123551 ya jiji Dar es salaam. Hawa jamaa ni takataka.
 
Tatizo lenu mtu anapiga simu halafu anaulizia kama kazi zipo au akisikia sauti ha mdada basi hapo anaanza na kutongoza, tabu kweli kweli, na hizi simu za kichina, zimekuwa nyingi mno siku hizi , zamani walikuwa wanapokea sana wakati simu zilikuwa chache miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000...
 
Tatizo lenu mtu anapiga simu halafu anaulizia kama kazi zipo au akisikia sauti ha mdada basi hapo anaanza na kutongoza, tabu kweli kweli, na hizi simu za kichina, zimekuwa nyingi mno siku hizi , zamani walikuwa wanapokea sana wakati simu zilikuwa chache miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000...
Acha kuwatetea, sasa waliweka zanini?
 
Sababu hawategemei simu za makapuku,
mtu upo upo tu unapiga BoT unataka nini?????
Mtu ambaye yupoyupo tu ni yupi? Acha dharau Chief.

BOT ni Benki kuu ya Tanzania na ipo kwaajili ya Watanzania wote sio kwaajili ya Matajiri

Watanzania almost wote ni walipa kodi na wana haki ya kupata assistance muda wowote
 
Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo
Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa Usimamizi https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/Olas

Nifanye nini nikikosa mkopo kwenye bechi ya kwanza HESLB?
Kuwa mvumilivu na subiri kwa sababu bodi ya mkopo inatoa majina ya waombaji wa mkopo waliopata mkopo kwa Bechi. Bechi za majina ya waliopata mkopo ni nyingi wakati mwingine hufikia tano au sita

Je nikisubiri hadi bechi zote za majina zikatoka na ikiwa sioni jina langu, nifanye nini?
Bodi ya mikopo hufungua dirisha kwa waombaji kukata rufaa kwa hivyo ikiwa unajiona kuwa una hoja, unaweza kukata rufaa
Je, nifanye nini ikiwa sipati mkopo baada ya kukata rufaa?
  • Lipa ada ya masomo na chakula cha kujifadhili na gharama za malazi.
Naweza kuomba mkopo huku nikiendelea na masomo?

  • Ndio mwaka ujao bodi itafungua dirisha jipya la maombi
Maswali baadhi ambayo naweza kukupa msaada angalau wa majibu kuendena na uelewa wangu
Je, iwapo nilikatisha(disco) masomo nifanye nini ili niweze kupata mkopo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) Soma hapa

Je, ni lazima nifuate taratibu gani ili nilipwe mkopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB)?

Ili bodi ifanye malipo, mnufaika lazima afuate taratibu hizi

1. Mfadhiliwa lazima ajiandikishe kikamilifu katika taasisi ya elimu ya Juu, vinginevyo itamfanya akose sifa ya kupokea fedha hizo.

2. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) lazima ipokee maelezo ya ziada ya wanufaika. Jukumu la kutuma taarifa hizo ni la taasisi ambayo wamekubali Wanufaika na kuwasajili kikamilifu.

Nyongeza:

iwapo mnufaika wa mkopo atajiandikisha katika taasisi ya elimu ya juu ambayo ni tofauti na ile ambayo TCU ilipeleka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB), mnufaika hatapokea fedha za mkopo hadi aombe kupangiwa upya au Kuhamishiwa mkopo.

Ikiwa mnufaika atabadilisha programu yake aliyoichagua awali, kiasi cha mkopo wake hakitabadilika hadi aombe kutengewa tena.

Mwisho, bodi ya mikopo Huendelea kufuatilia maendeleo ya mnufaika katika Vyuo vya Elimu ya Juu mara kwa mara ili kufanya uamuzi wa malipo.

Recomended Posts

 
Back
Top Bottom