Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

Mkubwa wao Haloteli
jichanganye ukosee kutuma pesa, ndo utaisahau kabisa, unaweza ukawapigia simu mwaka mzima hawapokei.
HALOTEL mataccor yenu... elfu 17 yangu😡
😡😡😡
Daaahhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana mkuu
 
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA


Wapuuzi sana jawa watu.
 
RITA inabidi iwe namba moja , ukiwapigia mida au siku ambayo sio ya kazi wanasema huu sio muda wao na wanakutajia muda rasmi wanaopatikana sasa ukiwapigia kwenye muda rasmi inaiita wanaleta tangazo kisha inajikata.
 
Achana na simu, angalieni hata websites za taasisi za serikali, utafikiri zimedizainiwa na mtoto wa darasa la 4.
 
HESLB (Online Application)
RITA (Hawajalipia simu zao)
 
Kuna
1. COSOTA
2. TRA
3........
Taasisi zote za serikali zimeweka zile namba kwenye website kama urembo tu.

Hata za Utumishi ngazi ya Taifa hawapokei

Ni Ushamba tu wa teknolojia na mawasiliano, sasa waliziweka zanini?
 
Hao Tigo ndio KERO KABISA
 
Nadhani wanaotumia upande wa lugha ya english ni wachache thus wahudumu huko wapo idle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…