KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha.

Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
EAC TOON.png
 
Bongo Dar Es Salaam Ni Msoto Uliotakata Hata Muhuri Wa Ikulu Unapata Uliposimama
 
Tarura waliingiaga mitini, ile nadhani ilikuwa mwaka 2021 kama sijakosea
 
Back
Top Bottom