-Hizi posho mfano transport allowance unaweza kudhani ni hela ya maana kumbe ni peanut tu, unaweza kukuta ni laki2, communication laki1,Utakuta mshahara figure za kawa ila posh na seminar balaa.
Transport allowance
Medical
Food allowance
Extra duty
Seminar
Communication
Hapo posho ya maana ni extraduty unaweza kukuta ni 900- 1.5 depends na institution