Bei gani hukoTAZAMA PIPELINE
Bei gani hukoTAZAMA PIPELINE
YesHii extraduty wanalipwa kila mwezi ?
3mBei gani huko
Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Sijaona TISEZA zamani TIC ina maana hawa jamaa na kelele za uwekezaji hawaingii hapo hawana salary kubwa wala posho nachoka😎Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Bila TANESCO orodha haijakamilikaTop 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
NIC vipi mkuu!!?Ucsaf- kweli
Tasac - kweli
Tanapa - kweli
TBA - waondoe ni pa kawaida sana
Aweke na wizara ya michezo sanaa na utamaduniWeka Wizara ya Fedha
Tuamble wewe ukweliYaani vijana wa Tz ni waongo sana, ukisoma comments za humu ndio utajua Tanzania inapenda story za vijiweni, watu washakula mihogo na kashata wanadanganyana.