Tatizo mdogo wangu, anapenda sana ngono juzi kakopa 50m kampa demu wake 5mDuh analamba asali
Tatizo mdogo wangu, anapenda sana ngono juzi kakopa 50m kampa demu wake 5mDuh analamba asali
HDaraja gn huyo mwalimu
Km G ana 1.7 H hafiki 2.8 hata afanyeje
H ni 2.9m ni mshahara wa MTU mwenye uzoefu wa 30 yrs, hatakuja kumiliki Prado mpaka anastaafuKm G ana 1.7 H hafiki 2.8 hata afanyeje
Ntakua wa mwisho kuamini kuwa H ni 2.9 mkuu km G ana 1.7 yn ukipanda kutoka G kwenda H unaongezwa 1.1 mil km nyongeza?H ni 2.9m ni mshahara wa MTU mwenye uzoefu wa 30 yrs, hatakuja kumiliki Prado mpaka anastaafu
-Oh sorry, H ni 2,100,000, I ni yo 2,900,000/-, nilikuwa sijaangalia vizuri bia hizi za usikuNtakua wa mwisho kuamini kuwa H ni 2.9 mkuu km G ana 1.7 yn ukipanda kutoka G kwenda H unaongezwa 1.1 mil km nyongeza?
Nimejaribu kufuatilia L sijaiona ila nimeona H7 ambaye ana range kwny 2.4 kwa mshahara uliopita kabla ya increment ya mwenzi huu back to my point sidhani km kuna mwl wa kufundisha darasani anaefikia L kuanzia level ya afsa elimu sawa-Oh sorry, H ni 2,100,000, I ni yo 2,900,000/-, nilikuwa sijaangalia vizuri bia hizi za usiku
-Utakuwa uko government wewe
- Ila kutoka H Hadi I ndiyo kuna tofauti kubwa
Mimi sijasemea L Bali ni I na HNimejaribu kufuatilia L sijaiona ila nimeona H7 ambaye ana range kwny 2.4 kwa mshahara uliopita kabla ya increment ya mwenzi huu back to my point sidhani km kuna mwl wa kufundisha darasani anaefikia L kuanzia level ya afsa elimu sawa
Hata hiyo I sijani km kuna mwl kufundisha anaifikia mkuuMimi sijasemea L Bali ni I na H
Kwenye kila kada Kuna bar/ ukomo wengi wao walimu wa kawaida hustaafia 2-2.5mHata hiyo I sijani km kuna mwl kufundisha anaifikia mkuu
Local gvmnt jau tu mkuu wkt hiyo 2.5 kwny taasisi nyingine unakuta ni chaliii mdogo tu anapita nayo hapo ni out of per DmKwenye kila kada Kuna bar/ ukomo wengi wao walimu wa kawaida hustaafia 2-2.5m
Yeah sure, kuna jamaa alinunua gari ya 17m ndani ya mwaka mmoja kwa per diemLocal gvmnt jau tu mkuu wkt hiyo 2.5 kwny taasisi nyingine unakuta ni chaliii mdogo tu anapita nayo hapo ni out of per Dm
Akaufanyia niniYeah of course, mdogo wangu kaahachukua mkopo 50m
5m kagongea iliyobaki naona anajengaAkaufanyia nini
Duh ya nn?Tatizo mdogo wangu, anapenda sana ngono juzi kakopa 50m kampa demu wake 5m
Kahonga 5,000,000Duh ya nn?
Anafanya kazi taasisi gani?Kahonga 5,000,000
Hii extraduty wanalipwa kila mwezi ?Ana posho nyingine like housing allowance laki7, extraduty 1.2m, communication laki1