-Hizi posho mfano transport allowance unaweza kudhani ni hela ya maana kumbe ni peanut tu, unaweza kukuta ni laki2, communication laki1,Utakuta mshahara figure za kawa ila posh na seminar balaa.
Transport allowance
Medical
Food allowance
Extra duty
Seminar
Communication
KweliNCAA
F unavimba 😀😀, Nina mdogo wangu kaanza kazi kwenye shirika fulani la umma na salary scale ya 2.85m na Wala havimbiWale wa TGTS F huku local government wanavimba sana uku sijui hii wameiona
Tira ni kweli kabisa, pale ofisa anaanza na 2.7m I think, wanalipwa na posho nyingine za extraduty, housing,na communication ambazo total yake ni 2+11. NCAA
12. TIRA
13. eGA
14. WCF
15.CMSA
16. TRA
17. TCAA
Engineer wa tarura analipwa mara 2 ya engineer wa manispaaKawaida sana ,hawana maajabu ila wana trips za uhakika kwa baadhi ya vitengo
Mwaka 2023 nilisikia kama walijitenge fulani ,pamoja na TANROADS yaani walifanya mabadiliko makubwa kwenye maslahi yao.Engineer wa tarura analipwa mara 2 ya engineer wa manispaa
Mwaka 2023 nilisikia kama walijitenge fulani ,pamoja na TANROADS yaani walifanya mabadiliko makubwa kwenye maslahi yao.
Hao jamaa wako vizuri sana upande wa safari ,onsite duties kibao yaani mpaka raha ...
- kimsingi hizi executive agencies nyingi salary scale ni 1.5m - 2m,
- kinachowafanya waonekane wana hela ni safari baadhi yao junior officer wanalipwa hadi 3m za per diem,
Hizo safari ziko sana kwa kada ya engineers, ndio maana kumkuta engineer wa tarura kanunua gari kwa per diem ni kitu cha kawaidaHao jamaa wako vizuri sana upande wa safari ,onsite duties kibao yaani mpaka raha ...
Kweli ,kuna Taasisi ukiwa Afisa basi ni mwendo wa kila maisha ,ila hizi nyingine za kikoloni ; wanaokula maisha ni meneja ,wakuu wa vitengo na kuendelea ...Hizo safari ziko sana kwa kada ya engineers, ndio maana kumkuta engineer wa tarura kanunua gari kwa per diem ni kitu cha kawaida
Of course managers, directors safari nyingi huwa wanazidaka waoKweli ,kuna Taasisi ukiwa Afisa basi ni mwendo wa kila maisha ,ila hizi nyingine za kikoloni ; wanaokula maisha ni meneja ,wakuu wa vitengo na kuendelea ...
Shirika ni shirika ila local gvmnt mwenye 2.8m ni mzitoF unavimba 😀😀, Nina mdogo wangu kaanza kazi kwenye shirika fulani la umma na salary scale ya 2.85m na Wala havimbi
Huku local mwenye hyo 2.8 kama ni mwalimu,unakuta anakaribia kustaafu. Lakini kwenye mashirika hyo 2.8 ni ya kijana anaye anza kazi ana full of energy at age of late 20 ama early 30.Shirika ni shirika ila local gvmnt mwenye 2.8m ni mzito
Daraja gn huyo mwalimuHuku local mwenye hyo 2.8 kama ni mwalimu,unakuta anakaribia kustaafu. Lakini kwenye mashirika hyo 2.8 ni ya kijana anaye anza kazi ana full of energy at age of late 20 ama early 30.
Yeah of course, mdogo wangu kaahachukua mkopo 50mShirika ni shirika ila local gvmnt mwenye 2.8m ni mzito
Aumalize mapema na afanye jambo la maana kabla hajapata familia kubwa.Yeah of course, mdogo wangu kaahachukua mkopo 50m
Wangejua hawa raia wa local gvmnt wangeacha kuvimbaYeah of course, mdogo wangu kaahachukua mkopo 50m
Ana posho nyingine like housing allowance laki7, extraduty 1.2m, communication laki1Aumalize mapema na afanye jambo la maana kabla hajapata familia kubwa.
- na maana yake hawezi kumiliki Prado mpaka anastaafuHuku local mwenye hyo 2.8 kama ni mwalimu,unakuta anakaribia kustaafu. Lakini kwenye mashirika hyo 2.8 ni ya kijana anaye anza kazi ana full of energy at age of late 20 ama early 30.
Duh analamba asaliAna posho nyingine like housing allowance laki7, extraduty 1.2m, communication laki1