Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA

Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania
1.UCSAF
2.TPDC
3.TCRA
4.TASAC
5.LATRA
6.PSSF
7.EWURA
8.REA
9.TANAPA
10.TBA
Sijaona TISEZA zamani TIC ina maana hawa jamaa na kelele za uwekezaji hawaingii hapo hawana salary kubwa wala posho nachoka😎
 
Yaani vijana wa Tz ni waongo sana, ukisoma comments za humu ndio utajua Tanzania inapenda story za vijiweni, watu washakula mihogo na kashata wanadanganyana.
 
Yaani vijana wa Tz ni waongo sana, ukisoma comments za humu ndio utajua Tanzania inapenda story za vijiweni, watu washakula mihogo na kashata wanadanganyana.
Tuamble wewe ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…