Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Kwenye NIDA Umepatia ,mm nilizungushwa miezi miwili namba ya NIDA, ofisi za wilaya fulani hivi,kumbe wanataka urefu wa kamba kweli nilivyotoa pesa nikapata NIDA siku hiyo hiyo
Hahahahaaa.

Niliwahi lipia hela niliyoambiwa ni ya BANDO (MB) kwenye Halmashauri ili nipatiwe Cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto.

Yaani Internet ya Ofisi ipo lakini nikaambiwa hivyo, nikasema isiwe shida ngoja nitoe tu maana kuzungushwa ndio sikutaka
 
Hahahahaa.

Uliwaambia kuwa umerekodi au walikuona unarekodi ndipo wakakuhudumia
 
Huyo Project Manager hakushtuka afanye ukaguzi wa mali?

Shukuruni kwa huo msimamo wa PM, lasivyo mngekaangwa
 
Wafanyakazi wa Umma hawapati shida ila raia wengine lazima pachimbike
Yuko mtu mzima mwenzangu wakamwambia yeye sio MTZ ati wanataka cheti cha babu na bibi yake huyo ni mtu wa miaka zaidi ya sitini sasa babu yake?????........................hawa jamaa ni zaidi ya wachawi.........
 
Huyo alikuwa nazo za kutosha
 
Huyo Project Manager hakushtuka afanye ukaguzi wa mali?

Shukuruni kwa huo msimamo wa PM, lasivyo mngekaangwa
Project Manager mwenyewe alikuwa ni Mbabu lakini muhuni tu,,,,,wahuni walimtafutia toto la kiarabu likawa linampoza.....KImsingi Project Manager alijua nondo ni za kwake lakini alikuwa na sababu za kuwakataa POLISI kwa sababu zilizo wazi kabisa,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…