Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

Mwafrika na rushwa ni tako na chupi
Sasa nikuchekeshe kitu,b4 sijaingia ofisi za NIDA nilitokea ofisi za RITA ili nipate cheti cha kuzaliwq,na kwenyew nilizungushwa sijapata kuona siku 5 mara naambiwa mtandao mara nini, sasa hiyo siku nipo ofis za rita akaja mzee fulani anafatilia cheti cha binti ake basi nikaona anatoa 40k alafu anaambiwa mzee jion njoo uchukue,kwa hasira mm nika rekod tukio zima jins walivyopeana hela ,wew nilipewa chet pale pale,
 
Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
3.Barabara patamu asikuambie mtu.....nilipokuwa kijana nilibahatika kuendesha tipper....kila siku nilikuwa napiga kidebe,,,,sasa ujana starehe zilikuwa nyingi sana.....lakini angalau mama yangu nilimjengea mabanda ya kuku na kiti moto yaani yule mbuzi mkatoliki... 😀 🙂 😀 🙂 😀 😎😎😎
 
Hukupiga cement kwa maana madereva kwa kuiba ni hatari
 
Back
Top Bottom