Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe

pole sana mchezaji wetu... Mungu akutie nguvu
 
MSIba mzito mungu ampe wepesi kwenye kipindi hiki kigumi
 
Pole sana Ajib! Huu mwezi kweli ni balaa. Mungu akutie nguvu.
 
Pole sn Ajibu. Mungu akupe uvumulivu mkubwa ktk kpnd hk kgumu kwako. Tupo pamoja nawe.
 
Nikiwa kama shabiki wa Yanga Nakupa pole Ndugu yangu...MUNGU akupe nguvu na busara na utulivu katika kipindi hichi ambacho ni kigumu na cha uchungu mwingi...tuko pamoja na ww na uwe na Imani siku zote MUNGU Yupo na atakubariki na kukuongezea pale palipopungua
 
Daah! Pole sana kwa ndg yetu Ajib kwa wakati mgumu anaoupitia..Mungu ampe nguvu... R.I.P ..shemela
 
Pole sana mkuu Ajibu ,
hata kama ni mtani wangu wa jadi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…