Acha kudanganya. Kutoka sao hill mpaka kinyanambo hata kumi havifikiMkuu fanyeni push back,mama wa vichenji alikomaa na RC mpaka kile kituo kikaondolewa, nanyi pia fanyeni push back sio kulalama humu, angalia pale Mafinga, ukitokea Sao Hill hadi Kinanyambo roughly 10km, kuna vituo 12 vya petrol ⛽️/diesel, hii ni craze
Kuna mogas,kangesa,lake oil,ukod oil,cf×2,nfs,oryx na camel oil.
Halafu vituo hivyo tu vinategemewa na machines zote za uzalishaji wa mbao mufindi kaskazini yote. Vijiji vyote vya mufindi kaskazini wakazi wake wote wanategemea hivyo vituo pekee