Tabata Dar es Salaam: Nani ametoa Kibali cha Vituo 3 vya Mafuta kujengwa ndani ya eneo la Makazi tena chini ya umbali unaotakiwa?

Acha kudanganya. Kutoka sao hill mpaka kinyanambo hata kumi havifiki

Kuna mogas,kangesa,lake oil,ukod oil,cf×2,nfs,oryx na camel oil.

Halafu vituo hivyo tu vinategemewa na machines zote za uzalishaji wa mbao mufindi kaskazini yote. Vijiji vyote vya mufindi kaskazini wakazi wake wote wanategemea hivyo vituo pekee
 
Udanganyifu gani nimeandika hapo, hesabu wewe mwenyewe vituo vingapi umeviorodhesha hapo!,au hesabu uligonga F?
 
Udanganyifu gani nimeandika hapo, hesabu wewe mwenyewe vituo vingapi umeviorodhesha hapo!,au hesabu uligonga F?
Hapana,nilipata C syo haba.

Angalia na idadi ya watu wanaohudumiwa na hivyo vituo. Mfano wateja wanaojaza mafuta kwenye petrol station ya cf namba mbili pale kinyanambo C yale mafuta yanahudumia watu kwenye barabara yenye urefu wa zaidi kilometers 120 ambapo kuna zaidi ya watu 40k plus
 
M
Yes, kimefunguliwa na kinafanya kazi.
Ndio nimemrekebisha jamaa darling, pale sio Mangumi ni Darajani mwaya.
Mangumi ni pale msikitini…
Hapana sweet,darasani sio pale Kwa kina mose dread? after pale kama unaenda Sane like kituo kinaitwaje?palikuwaga pamezubaa now naona frame mpya na pub Gani sijui
 
M

Hapana sweet,darasani sio pale Kwa kina mose dread? after pale kama unaenda Sane like kituo kinaitwaje?palikuwaga pamezubaa now naona frame mpya na pub Gani sijui
Ni kabla ya pale darling, na ujue ni kabla hujavuka lile jengo wanakoshonea Ezra? Pale ni darajani mwaya.
 
ndo tabata hiyo, viwanja vya wazi vilivyotumika kwa michezo na mazoezi wanauziwa watu wa malorry, barabara wameharibu zote!!
watendaji wa mtaa wapo na wanaona, labda wanahusika....
 
Hii nchi imekuwa ya kiwenda wazimu sana..nadhani kuna mahali serikali imelala fofofo sana...kituko cha mwaka njoo hapa Africana mbezi beach kama unashuka whitesand kama mita 700 utaona kituo kinajengwa Kwenye kiwanja kidogo mfano wa miguu 20 kwa 20..halafu barabara nyembamba na makazi ya watu wamezunguka...kituo kinajengwa kwa kasi ya kufa mtu usiku..yaani wiki hizi mbili kimeisha..
 
Aise

Ova
 
Kule Mikocheni wanakoishi mawaziri na mawaziri wastaafu Slaa aliingilia Kati na kufunga kituo.
Huko tabata si mnakaa wapiga kura tu, suala lenu litafikiriwa mwakani kipindi Cha uchaguzi.
 
Mkúu umechelewa kushangaa. Ulitaniwa usikitike baada ya kifo cha Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…