Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
13 jan 2026
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

1.Lala mapema

2.Amka mapema
msimulizi

3.Soma kitabu atleast 20dk/siku

4.Fanya mazoezi kila siku

5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi

6.usikate tamaa

7.weka malengo na na jitahidi kuyatimiza na kuyapitia mara kwa mara ukijikumbusha

8.Jiamini

9.Jitume

10. Saidia wengine
Mwandishi anaitwa Ezden

source YouTube
channel Success path network

Niliyekuletea Eng James
mtaalamu wa Raman za nyumba na ujenzi wa nyumba za kisasa kama gholofa,Nyumba za kawaida ,shule n.k
napatikana Ukonga dsm
0743257669
 
Hakuna kitu kigumu kama kuwa consistent kwenye goals zako, na hapo ndipo siri kubwa ya mafanikio ilipo, kila mtu anaweza kuweka goals zinazowezekana, tatizo kubwa si uwezo, ni focus na consistency. Ukweli ni kwamba 99% ya watu wanashindwa hapo, ukifanikiwa vitu hivyo viwili focus na consistency unaingia kwenye top 1%, na mafanikio lazima yaje
 
Kama ndio hizo basi acha tu niendelee kutaabika...sijui kama na matajiri wa Tanganyika wanafanya mazoezi kila siku maana wengi wamenenepeana kama viboko😁
 
Back
Top Bottom