Hakuna kitu kigumu kama kuwa consistent kwenye goals zako, na hapo ndipo siri kubwa ya mafanikio ilipo, kila mtu anaweza kuweka goals zinazowezekana, tatizo kubwa si uwezo, ni focus na consistency. Ukweli ni kwamba 99% ya watu wanashindwa hapo, ukifanikiwa vitu hivyo viwili focus na consistency unaingia kwenye top 1%, na mafanikio lazima yaje