Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Ndio maana nilikuwa najiuliza kwanini ukiandika tu moyo wangu unaenda mbio kama unaendeshwa na Lewis Hamilton kumbe na Ke.

I love woman...my mother is the woman. That's helps.

It is good to love your Mom honey.

The Bible says honor thy mother and thy father that it may go well with you and so your days may be long here on earth.

Yaani waenzi mama yako na baba yako ili mambo yako yakuendee sawa na siku zako za kuishi ziongezeke.

Samahani kama nitakuwa nime boogie kidogo katika kitafsiri aya hiyo katika maandiko matakatifu.
 
Wow! Safi nimeelewa. Nakupendaga na wewe pia.
 
Ukilipa wwwe ina maana kuna mtu/watu hawajalipa. Kwa maana hii wewe unalipia wenzio kila siku. Inatakiwa kila mtu apige round, mkimaliza kila mtu anakuwa kajinunulia.
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Kuna interview moja hivi Salim kikeke alikuwa anafanya akaulizwa kitu gani anakikumbuka akiwa nje ya Tanzania

Akajibu zege chipsi mayai mimi nilimshangaa sana, lakini nikaja kugundua ni tofauti tu tulizo nazo wanadamu
 
Wanaume wa Dar kazi wanayo....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wewe na wale watoto wa kiume wanaotukana single mothers mna tofauti gani? Mimi ni mwanaume wa Dar tuko wengi sana humu JF tumekusikia.
Hahahahaha. Kweli mmemsikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…