Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mbona hujawasema wanaume wambea mbea kama wanawake?
Basi hakuna watu wambea kama wanaume. Basi tu wanaume wengi hawana ule unafki wa kurudisha maneno ila kwa kuwadiscuss watu ni mabingwa
 
Kweli ni aibu sana kwa mwanaume kuyafanya haya tena hili la kuimba taarabu daah! ila kwa wanaume wa Dar haya yote ni ya kawaida na naamini uliyemuona anafanya haya ni mwanaume wa Dar bila shaka!!
Ndio.
 
mnapoelekea mpaka kitimoto mtataka mle peke yenu! sasa hapa ndo vita ya ukanda wa gaza itakapoanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kitimoto tuleni wote tu kwa umoja. Mbona mambupu ya mbuzi mnakulaga wenyewe na yalivyo matamu vile
 
Uko kama mimi.....mi nikiona ke anakunywa mibia, au anavuta sigara ntamshangaa mpaka basi!
Hahahaaaa.. rafiki zangu basi utawashangaa sana. Mi bia napenda Heineken.
 
Mara zote unalipia? Kwa mfano wale washkaji ambao kila weekend mnaonana kuanzia ijumaa. Unalipa siku zote? Mi najua mwanamke ndo analipiwa bill sio mwanaume.
 
Na ndo jibu linalostahili aisee ama unamwambia nipo zizini nasubiri kukamua ng'ombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haa ajali zimeongezeka sana nadhani sumatra waangalie hili[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ni sumatra au mamlaka ya anga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…