Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mbona hujawasema wanaume wambea mbea kama wanawake?
Basi hakuna watu wambea kama wanaume. Basi tu wanaume wengi hawana ule unafki wa kurudisha maneno ila kwa kuwadiscuss watu ni mabingwa
 
Kweli ni aibu sana kwa mwanaume kuyafanya haya tena hili la kuimba taarabu daah! ila kwa wanaume wa Dar haya yote ni ya kawaida na naamini uliyemuona anafanya haya ni mwanaume wa Dar bila shaka!!
Ndio.
 
mnapoelekea mpaka kitimoto mtataka mle peke yenu! sasa hapa ndo vita ya ukanda wa gaza itakapoanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kitimoto tuleni wote tu kwa umoja. Mbona mambupu ya mbuzi mnakulaga wenyewe na yalivyo matamu vile
 
Uko kama mimi.....mi nikiona ke anakunywa mibia, au anavuta sigara ntamshangaa mpaka basi!
Hahahaaaa.. rafiki zangu basi utawashangaa sana. Mi bia napenda Heineken.
 
Kwamimi siwezi kwenda bar na washikaji halafu kila mtu atoe pesa kivyake hiyo haijakaa powa,kwangu nikienda na washkaji kupata vyombo lazima nilipe huo ndio ubest,ukiona washkaji wameenda bar kila mtu analipa bills kivyake basi jua hao wana urafiki wa mashaka.

Chips Zege hapo una utani,kwa mabachela hicho ndio chakula chake kikuu.

Hayo Mengine yanatia shaka kweli.
Mara zote unalipia? Kwa mfano wale washkaji ambao kila weekend mnaonana kuanzia ijumaa. Unalipa siku zote? Mi najua mwanamke ndo analipiwa bill sio mwanaume.
 
Haa ajali zimeongezeka sana nadhani sumatra waangalie hili[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ni sumatra au mamlaka ya anga.
 
Back
Top Bottom