Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Ukilipa wwwe ina maana kuna mtu/watu hawajalipa. Kwa maana hii wewe unalipia wenzio kila siku. Inatakiwa kila mtu apige round, mkimaliza kila mtu anakuwa kajinunulia.
Eeeeh ndo najua hivyo.
 
Kuna interview moja hivi Salim kikeke alikuwa anafanya akaulizwa kitu gani anakikumbuka akiwa nje ya Tanzania

Akajibu zege chipsi mayai mimi nilimshangaa sana, lakini nikaja kugundua ni tofauti tu tulizo nazo wanadamu
Hahahahaa. Ila hata wageni wanapendaga sana chips zege ya kibongo
 
Mi sipendi tabia za kike kama hii..
Ukimwambia aje ghetto anadai nauli ukimtumia haji au anazima simu anawasha kesho..si bora niweke hiyo nauli tatumzuka au bet
 
Mi sipendi tabia za kike kama hii..
Ukimwambia aje ghetto anadai nauli ukimtumia haji au anazima simu anawasha kesho..si bora niweke hiyo nauli tatumzuka au bet
Sio tabia ya kike hiyo ushamba tu
 
Hahahahaaa. Nimeelewa. Ila kweli ile sikh sikula usiku

Pombe kali zinasumbua sana kama hujala vizuri, mimi siku nayojua nakunywa kula ni kitu cha kwanza kabla hata sijaanza hata chupa, bora niagize kwanza ndo nianze kunywa.

Na ukinywa na mimi lazima ule tu.
 
Hapo kwenye chips mkuu mi nakula ila nikiwa na washkaji na wao wale pia, vinginevyo nitalia home
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kitimoto tuleni wote tu kwa umoja. Mbona mambupu ya mbuzi mnakulaga wenyewe na yalivyo matamu vile
Yaani itafika kipindi mtatubakishia ugali maharage tu...
 
Wanashangaza japo na mie nilikuaga mbia wa safari [emoji23][emoji23]. Safari ni tamu basi tuu imekaa kiume
Mimi uwa nikiona mdada anapiga kitu safari basi najua huyu unagusa taratibu na haihitaji nguvu nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake.

Mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukilipa wwwe ina maana kuna mtu/watu hawajalipa. Kwa maana hii wewe unalipia wenzio kila siku. Inatakiwa kila mtu apige round, mkimaliza kila mtu anakuwa kajinunulia.
Leo nikilipa mimi,siku nyingine analipa mwingine inazunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…