Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa. Ila hata wageni wanapendaga sana chips zege ya kibongoKuna interview moja hivi Salim kikeke alikuwa anafanya akaulizwa kitu gani anakikumbuka akiwa nje ya Tanzania
Akajibu zege chipsi mayai mimi nilimshangaa sana, lakini nikaja kugundua ni tofauti tu tulizo nazo wanadamu
Fikra za kibongo hiziLeo ndio nmejua kuwa wine imetengenezwa kwa ajili ya wanawake tu
Mchumba umetisha
Hahahahaaa. Nimeelewa. Ila kweli ile sikh sikula usiku
Kwani tatizo la chips mayai ni nini hasa?Hahahahaa. Ila hata wageni wanapendaga sana chips zege ya kibongo
Yaani itafika kipindi mtatubakishia ugali maharage tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kitimoto tuleni wote tu kwa umoja. Mbona mambupu ya mbuzi mnakulaga wenyewe na yalivyo matamu vile
Asantee. [emoji23][emoji23]
Ndio tabia zenu[emoji35] [emoji35] [emoji35]Sio tabia ya kike hiyo ushamba tu
Mimi uwa nikiona mdada anapiga kitu safari basi najua huyu unagusa taratibu na haihitaji nguvu nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanashangaza japo na mie nilikuaga mbia wa safari [emoji23][emoji23]. Safari ni tamu basi tuu imekaa kiume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na Mimi Nina tabia nisizopenda Kwa wanawake.
Mnafika nae geto mmekaa nae kitandani anauliza unataka kufanya nini? Mimi huwa nawajibu nataka kufua nguo pale kitandani.[emoji23] [emoji23]
Leo nikilipa mimi,siku nyingine analipa mwingine inazunguka.Ukilipa wwwe ina maana kuna mtu/watu hawajalipa. Kwa maana hii wewe unalipia wenzio kila siku. Inatakiwa kila mtu apige round, mkimaliza kila mtu anakuwa kajinunulia.