scondo
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 137
- 127
[emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti, mihogo na konyagi duu hii Kali ya mweziVipi kwa anaekula mihogo ya kukaanga na konyagi?[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti, mihogo na konyagi duu hii Kali ya mweziVipi kwa anaekula mihogo ya kukaanga na konyagi?[emoji3]
Kunywa Bourbon mambo yaisheSio kabisa. Kunywa tu. Ila isiwe ya St. Anna tafadhali
Pole sana yaaani acha nikupe pole Heineken ikiwa inafuka moshi hiviiiiiAmina. Najikaza ilaa. Nikiona picha za Heineken roho inapaparika kwa kutamani
Vipi kwa anaekula mihogo ya kukaanga na konyagi?[emoji3]
Ila ilinifanya vibaya pia ndo maana nikaamua kuachana nayo.
Yaa kuna wine na whisky yakeHiyo wine nayo mkuu?
Glass ya wine poa vile vileVodka, Hennessy, JD, Glenfidich, Jameson, J&B??
Mwanaume anakunywa wine??mzigua kwenye wine kuna ukweli aisee !wine waachien wanawake !lol
Asubuhi napata sahani yangu ya mihogo na pilipili kwa wingi na mzinga wa konyagi, basi freeesh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni kidume
Mning'inio. Kunenepa wala sijali sana