Usihangaike na vitu vya watu huta kuja kuona kero we kama kitu hutaki fanya kukiepuka tu.Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini
Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi,
Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13.
Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa.
Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka earphone hakatoi ukikakaribisha mhindi unaona kanatoa earphone sikio moja harafu kanajibu "Ahsante stumiagi mimi" na wakati kanaelekea Usukumani
Binafsi hiyo tabia sipendi
Pole kwa yaliyokukuta mkuu😆😆Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini
Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi,
Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13.
Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa.
Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka earphone hakatoi ukikakaribisha mhindi unaona kanatoa earphone sikio moja harafu kanajibu "Ahsante stumiagi mimi" na wakati kanaelekea Usukumani
Binafsi hiyo tabia sipendi
Upo kama Mimi yaani dirishani ndio kila kitu.Napenda kukaa dirishani siku zote nakata siti za dirishani na nna tabia ya kuzurumu watu siti za dirishani.niki kuta mtu kakaa kweny siti yangu nta hakikisha namuomba kistaarabu aki kataa tasubiri ule wakati wa kukojoa akishuka nakaa
Offline
Kuna kamoja kalinitapikia Kuanzia mbezi hadi mutukula.Ila Muda mwingine kuna tudada tuna nyodo safarini.
Sometimes ukizitafuta utazipata nyodo zao just try to be calm stay with your things nae astay na vyake.. mi kinachonikera ni kukuta makelele huwa napenda nikisafiri nisafiri na kitabu nijisomee Sasa utakuta wameweka mi muvi ya ajabu ajabu tu!!.. unaenda kwenye gari unawaza ukae na binti mzuri umsemeshe badala ujiwazie wewe utajifanyia nini!!.Ila Muda mwingine kuna tudada tuna nyodo safarini.
Wewe ni Mimi..Sipendi tabia ya baadhi ya watu kupayuka hovyo kwenye gari utadhani wapo wapi sijui.
Unakuta wamekaa siti tofauti ila wanapiga kelele yaani ni kero mno.