Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Sometimes ukizitafuta utazipata nyodo zao just try to be calm stay with your things nae astay na vyake.. mi kinachonikera ni kukuta makelele huwa napenda nikisafiri nisafiri na kitabu nijisomee Sasa utakuta wameweka mi muvi ya ajabu ajabu tu!!.. unaenda kwenye gari unawaza ukae na binti mzuri umsemeshe badala ujiwazie wewe utajifanyia nini!!.

Wengine hujikuta tena wanafanya ambayo hawakutaka kufanya labda anajikuta ananunua michakula tu ili kumridhisha binti mara tumbo linaanza kuvuruga..🤣
Hapo ukipenda showoff kwa binti ndipo kisanga huja na kuaibika kwa juu.
 
Wewe ni Mimi..
Au mtu anaongea na simu anapayuka gari zima.. Sipendi jamani..
Kuna wengine juzi nimepanda nao mwendokasi,,dah kuna mmoja alikuwa ananipayukia sikioni nilitamani hata nimnase kibao.

Kuna watu ni hovyo kabisa, Yaani utadhani gari lote lao.
Halafu sasa watu wote wakageuza macho kuwashangaa,hata hayashtuki halafu ni pumba tu wanaongea..mmoja yupo kipande cha mbele cha mwendokasi, mwingine yupo cha nyuma baada ya yale maungio.
 
Sometimes ukizitafuta utazipata nyodo zao just try to be calm stay with your things nae astay na vyake.. mi kinachonikera ni kukuta makelele huwa napenda nikisafiri nisafiri na kitabu nijisomee Sasa utakuta wameweka mi muvi ya ajabu ajabu tu!!.. unaenda kwenye gari unawaza ukae na binti mzuri umsemeshe badala ujiwazie wewe utajifanyia nini!!.

Wengine hujikuta tena wanafanya ambayo hawakutaka kufanya labda anajikuta ananunua michakula tu ili kumridhisha binti mara tumbo linaanza kuvuruga..🤣
Ndio waache kujipendekeza😂😂
 
Tabia nyingine ambayo sipendi ni kukaa na mtu aliyejitanua utadhani siti 2 zote zake.

Mtu amejitanua katikati ya siti 2,badala akalie Moja.
Mtu anaenda kukaa,badala asogee ,anabaki amejitanua hivyohivyo,, Kuna watu sijui hata huwa wanawaza kwa kutumia nini!
 
Mimi kelele zikizidi huwa naziba masikio huku nikimtolea macho anayepiga hizo kelele.

Kuna watu sijui wapoje yaani.
🤣🤣🤣🤣 Uje unifanyie mimi mbona utacheka tu nikachokifanya hutaweza kuvumilia kucheka..😜
 
Me napenda nikae seat ya nikae na mkaka HB flani hivi[emoji847][emoji847][emoji23] asiwe mkimya saana cause napenda polojo hatari asiwe na simu nzuri kunizidi na simu yake isiwe inaita mara KWA mara[emoji57][emoji57] na asiwe mweupe cause nyodo sipendi na awe anajali hata kama HATUJUANI ntaenjoy KWA mda tu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Tabia nyingine ambayo sipendi ni kukaa na mtu aliyejitanua utadhani siti 2 zote zake.

Mtu amejitanua katikati ya siti 2,badala akalie Moja.
Mtu anaenda kukaa,badala asogee ,anabaki amejitanua hivyohivyo,, Kuna watu sijui hata huwa wanawaza kwa kutumia nini!
Kuna watu wanakera sana safarini.
 
Me napenda nikae seat ya nikae na mkaka HB flani hivi[emoji847][emoji847][emoji23] asiwe mkimya saana cause napenda polojo hatari asiwe na simu nzuri kunizidi na simu yake isiwe inaita mara KWA mara[emoji57][emoji57] na asiwe mweupe cause nyodo sipendi na awe anajali hata kama HATUJUANI ntaenjoy KWA mda tu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Bila kusahau anapenda kununua vitu mnashea
 
Back
Top Bottom