Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.

Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi wengine wanarudisha pesa na kukimbia.

Gi2Ch8WW0AANJID.jpg
 
Hapo mbona pa kishua sana, unaona chemba nyingi, hizo ni self-container, lete zele mnapanga foleni ya chooni. Kuingia chooni unapanda ngazi
 
Kulana wapangaji ni kawaida sana, hata mtoto au ndugu wa mwenye nyumba akijipendekeza chumbani kuingiaingia hovyo hulambwa tu
 
Wabishi kila kitu watabisha mfano zamu ya kuweka umeme,maji,usafi
 
Nyumba za wapangaji za namna hiyo hazifai hata kidogo.jenga vyumba ambayo ramani yake inajitegemea na siyo kama madarasa ya shule.
 
Wazee wa Yuen .... Wao mda wote vitu vyote wasaidiwe tu.
Pili hapakosi mnoko na mchonganishi.
 
Back
Top Bottom