nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kuanzia mtogwa,mkangafu,hadi mdindifuUnaunywa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia mtogwa,mkangafu,hadi mdindifuUnaunywa?
Nimepiga sana kelele..kuna siku skul sijatokea na bado nikaandikwa jina!!bila shaka kwenye daftari la wapiga kelele ulikua ukosi Mkuu
Aisee kupiga kelele iliniathiri sana iwe darasani au paredi, nisipoenda shule cku iyo kila mtu anajuaHeshima kwenu wakuu wa Jf
je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni
1.Utoro
2.Kuchelewa
3.kupiga kelele darasani
4.wizi
5.ugomvi shuleni
6.Upole darasani
7.kutumia simu shuleni
kama sijaweka yako unaeza kueka tukaenda sawa..
sijui lilikua gunia la chumvi lile!!!Ulkua na tofali kwenye koo
Usithubutu kukutwa...Hivi upupu unawasha hata kama mtu amevaa nguo?
MJ ? Majengo?? wanafunzi wa hapo ni vichaa mpk walimusikuwahi kukaa assemble mpaka na maliza nilikuwa simjui Headmaster ..MJ hapo moshi yani nilikua naingia sa 3 naondoka na shabiby ya sa 6