Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Heshima kwenu wakuu wa Jf

je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni
1.Utoro
2.Kuchelewa
3.kupiga kelele darasani
4.wizi
5.ugomvi shuleni
6.Upole darasani
7.kutumia simu shuleni
kama sijaweka yako unaeza kueka tukaenda sawa..
Aisee kupiga kelele iliniathiri sana iwe darasani au paredi, nisipoenda shule cku iyo kila mtu anajua
 
nilikuwa nawakonyeza na kuwarembulia walimu wa kike ambao walikuwa wazuri japo nilikuwa mdogo
 
kuna jamaa hakukosa kondomu hata siku moja..kwa vile alikuwa na udhaifu wa kukojoa bed alizivaa wakati analala ili kutega mkojo
 
Kupiga mtungo nayo ilikuwa ni tabia yangu yani huo mchezo niliupenda sana.

Ila tangu nilivyomgeukia mungu miaka kumi iliyopita sipendi tena!
 
Kuwahi kumaliza mtihani na kuwa wakwanza kutoka hahijalishi nimepata au nimekosa maana nilikuwa na amini kuwahi kumaliza mtihani ndio kufaulu.
 
Kumwekea mwalimu kioo chini ya meza yake ili nione rangi ya chupi aliyovaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kwenda scul na karanga mfukoni,

Hiyo issue tokea primary hadi nmemaliza secondary nilikuwa naifanya, kila break lazima nichukue karanga niweke mfukoni, ilikuwa full kutafuna tu.
 
Back
Top Bottom