Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yani ulikua huna tofauti na mimi sema mm nilkua pia mwiziNakaa jirani na shule lakini naingia shule saa mbili na robo mda wa kuingia darasani na vipindi vikiisha naondoka ratiba nyingine nawaachia hao na nilikuwa hodari wa kutoroka adhabu na adhabu zangu nyingi zilikuwa zinafanyikia stafu kwa sababu siku wakinibambanya unakuta nna makosa kaa 8 hivi alafu niko wanted na walimu kama wanne hivi, basi hapo stafu nnachezea bakora so za nchi hii sometym kengele ya assembl inalia naadhibiwa mbele ya shule na spa juu coz unakuta kuna ticha huko staf tumeshindwana nishazingua na rudi hom lakini huko hom skai ntaulizwa imekuwaje naenda skuli kinyemela huku natumikia spa yangu ikiisha nakuwa mwema wiki mbili alafu kama kawa tabia inajirudi ila nashukuru mungu nilivyoingia form four nilikuwa mtakatifu niliacha utoto
Ila ukinikoroga mkorofi trump anasubiriunaonekana tu we mpole
Safi,inaelekea ulikuwa unawakimbiza wenzako kwenye masomo.Kusoma kwa bidii zote
Duh!!!Kutoa bikra mademu
Ilikuwa must be written,ase..bila shaka kwenye daftari la wapiga kelele ulikua ukosi Mkuu