Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

me nlikuwa mchesh san shul so kila mtu alikuwa anapenda akae jiran namm akij ,so mwalim akij kutak majin ya wapig kelel me lazm niandikwe hata kma hiy cku ckupig
 
Kuchelewa kwa kweli mimi ni mvivu kuamka asubuhi kila siku, imenibidi nijiajiri mwenyewe na nachukia ajira nikifikiria adha ya kuamka saa 11 alfajiri kila siku kuwahi foleni barabarani .
 
Kama huu unaongea na babu kabla hujamwamkia...

Hivi nikikutongoza utanilaumu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Aaaah babu untaka niwe kipofu were wewe

Nikikukubali hiyo bustan ya eden siitakuwa imebadilika rangi teh teh maua ya pink yatakuwa yakijani[emoji85] [emoji85]
 
Kwahiyo kwa kifupi kabisa unataka kunambia ndo ushanipiga chini hata kabla sijaanza???
 
Back
Top Bottom