Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

kushinda mlimani naota jua huku nikifaidi matunda pori kengele ya saa nane ikigonga wamerusiwa na me narudi home siku ya mtihani naibuka skuli
 
Kuchelewa kwa kweli mimi ni mvivu kuamka asubuhi kila siku, imenibidi nijiajiri mwenyewe na nachukia ajira nikifikiria adha ya kuamka saa 11 alfajiri kila siku kuwahi foleni barabarani .
Hujawahi kuishi mikoa yenye baridi wewe mda ambao inatakiwa ndio uamke usingizi unanoga kuliko usiku mzima hiyo process ya kuamka inachukua nusu saa na unaweza kuamka alafu ukarudi tena kulala
 
Kamwene mnyalu..una nikumbudha enzi zetu tukiwa A-level pale mkwawa, ni full kwenda maeneo ya makanyagio na ilala kunywa ulanzi tu, aisee, kurudi shule tunapitia kule shule ya msingi ilala (iko mlimani) au kule uwanja wa Mpira kuna mlima umejaaa vitindi vya ulanzi...aisee...ilikuwa rahaa sana kunywa ulanzi wa wanyalu.

Kamwene munogage
 
sikuwahi kukaa assemble mpaka na maliza nilikuwa simjui Headmaster ..MJ hapo moshi yani nilikua naingia sa 3 naondoka na shabiby ya sa 6
 
Ndiyo Mimi Mkuu!

Kama wewe ni KE natumai niliyagusa hayo matunda yako.

Maana hakuna kitu nili/ nachopenda kama kuyachezea.
mm ni beberu meeeee.. Labda uligusa ya dada angu
 
Kupiga kelele darasani yaan nlikua kichwa cha habari pale juu
kuropoka ndo usiseme
comedian wa hatar shule nzima najulikana
notice nilkua naandkiwa na vitoto vya 4m one na 4m 2....
Ilifk kipnd nikawa na daftar moja lina masomo yote
ila shule nilkua sikosi nikitorok bahat mbaya
 
sikuwahi kukaa assemble mpaka na maliza nilikuwa simjui Headmaster ..MJ hapo moshi yani nilikua naingia sa 3 naondoka na shabiby ya sa 6
Hahahaa kuna jamaa alkua ndo kama dereva ikifka saa 6 na 30 utasikia abiria wa city boy fungeni mikanda basi linaamsha saa 7 na watu kibao full kuvuna mahind kwenye mashamb ya watu
 
Kupiga kelele darasani yaan nlikua kichwa cha habari pale juu
kuropoka ndo usiseme
comedian wa hatar shule nzima najulikana
notice nilkua naandkiwa na vitoto vya 4m one na 4m 2....
Ilifk kipnd nikawa na daftar moja lina masomo yote
ila shule nilkua sikosi nikitorok bahat mbaya
ulikua una pendwa sana?
 
Kuandikiwa notes na dem, kugonga ma she muda wa prepo.
 
Kuandikiwa notes na dem, kugonga ma she muda wa prepo.
hahahaha..!! Me ckuwai kutoka na demu enzi za skuli yani nilikua mtoro mpaka wakat nikienda utaskia wananiita mm mgeni
 
Back
Top Bottom