Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekua nayo hiyo mpaka sasa hivi unavoonekana tu...ndomnaendaga madirishani nyieKuchungulia madem
mmhh unatuongopea wewe...shule ya msingi nani alikuwa mpoleUpole
Habari yako Thad!!Kupika bwenini!
Km huamini basi... Ila tulikuwa wengiii tuummhh unatuongopea wewe...shule ya msingi nani alikuwa mpole
Akuuu...sikuwahi kupata ajali kubwa sana,japo ndogo ndogo zilinikumba sana tu,lakini sikukoma kupika.Habari yako Thad!!
Bila shaka ni wewe uliyechangia kuungua kwa lile bweni!!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
Dyu tunafanana pia me kusoma o level nlikuwa nasoma kwa kuulizan maswali tyu na rafiki angu afu mathematics pale utakaponiletea swali limekushinda ndo tuje kutana kwa pepaaame nlikuwa mchesh san shul so kila mtu alikuwa anapenda akae jiran namm akij ,so mwalim akij kutak majin ya wapig kelel me lazm niandikwe hata kma hiy cku ckupig
Hahah,huo udogo wake ulikuwa unaupimaje!?Akuuu...sikuwahi kupata ajali kubwa sana,japo ndogo ndogo zilinikumba sana tu,lakini sikukoma kupika.
Nilikuwa naweza kuzidhibiti mwenyewe!Hahah,huo udogo wake ulikuwa unaupimaje!?