Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuishi mikoa yenye baridi wewe mda ambao inatakiwa ndio uamke usingizi unanoga kuliko usiku mzima hiyo process ya kuamka inachukua nusu saa na unaweza kuamka alafu ukarudi tena kulalaKuchelewa kwa kweli mimi ni mvivu kuamka asubuhi kila siku, imenibidi nijiajiri mwenyewe na nachukia ajira nikifikiria adha ya kuamka saa 11 alfajiri kila siku kuwahi foleni barabarani .
Kamwene mnyalu..una nikumbudha enzi zetu tukiwa A-level pale mkwawa, ni full kwenda maeneo ya makanyagio na ilala kunywa ulanzi tu, aisee, kurudi shule tunapitia kule shule ya msingi ilala (iko mlimani) au kule uwanja wa Mpira kuna mlima umejaaa vitindi vya ulanzi...aisee...ilikuwa rahaa sana kunywa ulanzi wa wanyalu.
Ndiyo Mimi Mkuu!Kama mwalimu wetu mmoja ivi alikua na hiyo tabia ka yako
Hahahaa kuna jamaa alkua ndo kama dereva ikifka saa 6 na 30 utasikia abiria wa city boy fungeni mikanda basi linaamsha saa 7 na watu kibao full kuvuna mahind kwenye mashamb ya watusikuwahi kukaa assemble mpaka na maliza nilikuwa simjui Headmaster ..MJ hapo moshi yani nilikua naingia sa 3 naondoka na shabiby ya sa 6
ulikua una pendwa sana?Kupiga kelele darasani yaan nlikua kichwa cha habari pale juu
kuropoka ndo usiseme
comedian wa hatar shule nzima najulikana
notice nilkua naandkiwa na vitoto vya 4m one na 4m 2....
Ilifk kipnd nikawa na daftar moja lina masomo yote
ila shule nilkua sikosi nikitorok bahat mbaya
yaan sana hyo nyota hdi leo bdo nnayoulikua una pendwa sana?