King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda.
Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira hasara.
Kwa upande wako wewe ni tabia gani uliyonayo ambayo hutamani kuona wanao wakirithi kutoka kwako, role model wao?