Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Habari.
Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito.
Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu anatabia mbaya anatongoza na kuomba simu namba kwa wajawazito wakati wa kuwapima,hata akipata gepu wanaosubiri kujifunguwa.
Tabia hii inamuda na analelewa tu pale na watu wengine hawapendi kupeleka wake zao.Idara husika ifatiliye hilo na imdhibiti haraka watu watamchoka watamtwanga.