Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT.
Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza....

Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA huioni kwa kutobadilishwa TUNE yake ya asili !

Shime wahusika walifanyie kazi hili kwani hii ni AIBU kubwa ,akina mh.mbunge Nusrat Hanje na kiongozi wa BAVICHA ndugu Mwaipaya walilala korokoroni kwa muda mrefu tu kwa kuuimba wimbo huu mtukufu kitofauti.....

#Mwenyezi Mungu aendelee kulilinda taifa hili tukufu dhidi ya usaliti wa kila namna ,aaamin !
#Taifa kwanza kwa njia yoyote iwayo !
 
Back
Top Bottom