Saws mkuuZilifuta mazuri yake kwenu ila kwa sisi wengine bado yupo anaishi ndani yetu
Kila mtu anavisasi Hata nyie apa mnaroho za visasi Hata kwa mtu ambae kimwili hayupo nasiYote 9, Tanzania ni bora na yenye Matumaini na furaha bila huyo mbabe.
Ni kweli.Kuna watu wabishi mnoo!Unaweza kumshauri kwa wema tu,.."usife"...halafu yeye anaamua kufa.Ubishi.Teh!"mimi sishauriki"
Zilifuta mazuri yake kwenu ila kwa sisi wengine bado yupo anaishi ndani yetu
Hicho kitu hakiwezekani kwani kama kiongozi hawezi kumridhisha kila mtu,hata kwenye familia baba hawezi kumridhisha kila mwana familiaNinavyofahamu haiwezekani kila kiongozi ajaye akamridhisha kila mtu hilo alipo labda kama kuna dunia nyingine.
😂😂😂Kila mtu anavisasi Hata nyie apa mnaroho za visasi Hata kwa mtu ambae kimwili hayupo nasi
Unamkosea sanaMagufuli alikuwa na tabia tatu kuu mbaya.
1. Mkatili (kuua maadui zake iliona ni haki na sahihi)
2. Mdanganyifu (Uongo ndio iliyokuwa silaha yake kuu ya kuendelea kutawala)
3. Mbinafsi (Alifanya kile tu anachokiamini, kukitaka na kukipenda yeye hata kama ni kinyume cha sheria au utaratibu)
Kwa kifupi sana, Magufuli hakustahili kuongoza watu, hakufaa hata kuongoza kijiji, labda kuongoza shamba lake la mifugo kule Kagera au Chato.
Ushamba unakuandama.Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo.
Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa ambao kwa namna moja au nyingine zilimpotezea ubora wake :-
1.Mtu wa Visasi ,kwenye hii Dunia kila siku tunakosana na kutofautiana na watu wengi sana katika Haya wengi husamehe wengine hawawezi hivyo hutulia na kusubiri muda muafaka wa kulipa visasi.
Kiongozi watu aliweza kulipa visasi kwa vikundi mpaka kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja ,kuna watu walikuwa maskini ,Nchi waliiona Chungu kwa sababu za visasi tu ,kwamba nlikuwa sina mamlaka sasa ninao mtakoma ,hii tabia iliharibu sana Nchi na ndio watu walisema ukatili.
2.Hakuwa Muwazi ,Katika Uongozi kuna mambo unaweza waficha wananchi wako lakini Mambo yanayo husu Maendeleo yao ni bora tukajua ,Tulikopa sana ,Tulipewa misaada Mingi ,tulipewa Pesa za COVID-19 ,kuna hela zilikusanya kwa Nguvu zikiwemo za madeni ya Nyuma kutoka kwa Matajiri na watu kama kina Sabaya na kwenda kufanya maendeleo bila watanzania kujua .
Mambo haya yote watanzania ilibidi wajue ,ili hata tunavyo ambiwa Deni la Taifa ni Trilioni 70 tunaelewa sio kuficha Taarifa .
Hivyo watanzania visasi havifai mtu ulikosana nae Darasani ,ukiwa Waziri ,JF ukipata Cheo kikubwa zaidi Tusahau na kusonga mbele .
Lakini mbali na mapungufu hayo makibwa mawili bado JPM ni mfano wa kuigwa kwa wazalendo wote aliipenda sana Tanzania .
Visasi na Kutokuwa Muwazi sio sifa nzuri kwa kiongozi .
Hii "Lakini" jisemee wewe mwenyewe usituhusishe sisi wananchi wazalendo wa ukweli TZ.Haiwezekani kabisa kabisa kiongozi wa nchi yeyote ile hapa duniani akamridhisha kila mtu. Hata manabii wa Mungu hawakuweza hilo jambo. Lakini......... Magufuli alipitiliza yale mapungufu ya kawaida ya ki-uongozi.
Kwa ngozi hii inatakiwa Kiongozi mwenye kaliba ya JPM hata zaidi ya mara 100, na nina wasiwasi huenda hii mbegu ndiyo ile iliyong'ang'ana na ubishi kwa Mungu toka Misri kwenda Kanani hadi alipoiangushia nyoka wa ukweli wakang'atwa wakafa sana ndipo walipomkumbuka Mungu na kuomba toba.Hakuna ukweli wowote, ni ujinga kufikiri kwa kuwa kiongozi hawezi kuwaridhisha watu wote basi hata akina Adolf Hitler, Sani Abacha au Iddi Amin walikuwa sawa tu na viongozi wengine wote.