Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Hizo tabia Mwigulu na Makamu wanazo sn
 
Reactions: RNA
Hakuna ukweli wowote, ni ujinga kufikiri kwa kuwa kiongozi hawezi kuwaridhisha watu wote basi hata akina Adolf Hitler, Sani Abacha au Iddi Amin walikuwa sawa tu na viongozi wengine wote.
Na ni ujinga uliopitiliza kwa kweli. Maana hata akina Hitler wafuasi wao watakuja kudai walikuwa na mapungufu ya kawaida kibinadamu.
 
Umesahau u-A. Hitler pia alikua nao
 
Nyota yake pia inasema hivyo

Yeye alikuwa na nyota ya ng'e (scorpio).

Watu wote wenye nyota ya ng'e wapo hivyo.

Huenda hakuwahi kufuatilia lolote kuhusu nyota yake.

And they are born leaders.
 
Pumba tupu hapo, mazuri ya JPM hayawezi kufutwa na sababu za kipumbavu.
 
1. Kabla ya JPM watu walikuwa wakiuliwa na hata baada yake bado tunasikia taarifa za watu kuuliwa huko Ngorongoro na kwingine.
2. Uongo ni sifa kuu ya viongozi wetu wote, juzijuzi tu tumesikia kauli ya kiongozi mkuu wa serikali bungeni akisema ngorongoro hali ni shwari lkn siku hiyohiyo tukatangaziwa kifo cha askari mmoja (hapo hatukutangaziwa idadi ya vifo vya raia) kifupi unayomuhumu JPM ndo hayohayo wafanyayo viongozi wetu leo.
3. Kiongozi yupo asiye mbinafis nchi hii? Tena kwangu JPM alikuwa na unafuu kuliko hawa mafisadi wanaojilimbikizia mali na mamilioni ya Watanzania masikini huko ughaibuni.
Wote mnaomshutumu JPM ni wabinafsi kuliko yeye maana yeye alisimamia mali za watanzania ziwanufaishe watanzania wote lkn nyie hamkutaka! Mnataka mvune wachache!
 
Kutomridhisha kila mtu ni sawa, ila visasi haipaswi kuwa hulka ya kiongozi wa nchi ya kidemokrasia.
Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani! Ukijua hilo utashi kwa raha. Haipo duniani kwetu.
 
Watumishi wa umma ni number ndogo sana ya watanzania wote! Ila watanzania walio wengi walimpenda JPM na utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…