Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Dikteta lazima asemwe kwa maovu yake
Mnapoteza muda wenu kufuta jina la Magufuli kwenye mioyo ya Watanzania. Watanzania walimpenda na kumuamini si kwa kejeli na maneno ya kuwasimanga wengine ila kwa utendaji wake uliogusa maisha yao ya kila siku. Kama mnataka kufuta jina lake fanyeni kazi mara mbili zaidi yake wananchi watamsahau na kuimba majina yenu. Bahati mbaya CHADEMA nao wameingia kwenye huo mkumbo!
 
Yesu mwenyewe pamoja na utukufu wake Kuna watu kama wewe walimuona hafai, katika hili siwezi kushangaa kwa sababu huu ni Mtazamo wako
 
Hakuna anayemsema isipokuwa maovu yake ndiyo yanamtafuna
 
We mpumbavu kweli fanya yako achana na jiwe
 
Kila mtu aendelee kuamini atakavyo kuna wanamuona Magu kama shetani na wana sababu zao na nzito na kuna wanaomuona kama malaika na mkombozi na wana sababu zao pia
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa nchi hii baada ya Mwalim J.K
Ingineni mitaani mkawasikie wananchi wanamzungumziaje Magu.
 
A mentally unstable bulldog you never let off a leash. Dude had serious issues.
 
Umeeleweka
 
Hapa ndio nilimdis kabisa.
Nadiriki kusema nilifurahia kuondoka kwake madarakani,japo kifo kinahuzunisha.
 
Magufuli ni raisi bora sana kuwahi kutokea mpk kesho nitaendelea kusikitika juu ya kifo chake, nchi hii bado inahitaji raisi mwenye falsafa ya jpm ili kuondoa ujinga .
Tanzania inahitaji mifumo imara watu wanazaliwa na wanakufa, Ila magufuli alikua dikteta
 
Kama sio figisu za uchaguzi 2020 hao wananchi unaotaka waulizwe wangekushangaza.
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa nchi hii baada ya Mwalim J.K
Ingineni mitaani mkawasikie wananchi wanamzungumziaje Magu.
 
Point namba sita tokea mpaka magufuli na Sasa hivi viongozi wetu hawaionagi
 
Unafikiri Gwajima alishinda Kawe 2020??
Watumishi wa umma ni number ndogo sana ya watanzania wote! Ila watanzania walio wengi walimpenda JPM na utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…