Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
2,284
Reaction score
3,626
Utasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..."
1. Singida.

2. Tanga.

3. Dodoma.

4. Simiyu.

Hapo hapo utasikia wakikushauri kwamba.... "jitahidi upate mke atoke mikoa kama;
1. Mwanza

2. Bukoba

3. Kigoma

4. Mbeya

Usipotoshwe tafadhali.. Tabia nzuri au mbaya ya mwanamke haitokani na kabila lake.
 
Mitanganyika na Imani za kijinga.

Screenshot_20250330_113603_Google.jpg
 
Kaoe mchaga wa Machame kwanza ndio uje utoe ushauri. Na huo ushauri usubiri at least mfikishe miaka kumi ya ndoa ndio uje na hili bandiko lako upya.
kwasasa unatupigia kelele tu.
 
Haha inachekesha sana! Inasikitisha inashangaza!
Ukiendekeza ukabila utatoka bila bila
 
Back
Top Bottom