Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Mtwara kuna siri gani huko mkuuUtashauri tukaoe Mtwara
Mtwara kuna siri gani huko mkuuUtashauri tukaoe Mtwara
Inawezekana ikawa na ukweli hata Wana wa Israel walionywa pia,wasioe wakaldayo.Utasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..."
1. Singida.
2. Tanga.
3. Dodoma.
4. Simiyu.
Hapo hapo utasikia wakikushauri kwamba.... "jitahidi upate mke atoke mikoa kama;
1. Mwanza
2. Bukoba
3. Kigoma
4. Mbeya
Usipotoshwe tafadhali.. Tabia nzuri au mbaya ya mwanamke haitokani na kabila lake.
Mmakonde yupo moto muda woteMtwara kuna siri gani huko mkuu
Wayao je?Mmakonde yupo moto muda wote
Asili na tamaduni pia zina mchangoMalezi ndiyo kila kitu kwenye ukuaji wa mtoto. Kuanzia lishe bora, maadili mema, nidhamu ya hali ya juu, nk. Humfanya mtu kuwa bora kwenye maisha yake ya ukuaji.
Kama hujaoa nenda kaoe huko Mtwara, kuna mke mwema kutoka MtwaraUtashauri tukaoe Mtwara
Unawajua wakeze king Solomon wewe?Inawezekana ikawa na ukweli hata Wana wa Israel walionywa pia,wasioe wakaldayo.
Si ndio akachemka,akamuasi Mungu!Unawajua wakeze king Solomon wewe?
Mwamba alipita na wanawake wakaldayo hadi wamisri mbona!!
Sina uhakika kama alimuasi Mungu ila nina uhakika alibarikiwa na Mungu kwa kila jambo....Si ndio akachemka,akamuasi Mungu!
Waheshimiwa kama Mwigulu mzee wa tozo na Chenge mzee wa vijisenti wameoa wachaga...Hapo Hujataja wachaga bado, Wamachame, Wakishumundu utaskia wanaua waume zao
Why don't?Don't marry a Sukuma women, case closed
1.KilimanjaroUtasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..."
1. Singida.
2. Tanga.
3. Dodoma.
4. Simiyu.
Wambulu/wairaqw, wahaya.. ukioa hayo makabira mawili jiandae kushare mke.Kulee juu umesahau manyara (wambulu)