Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
Hapana bali ukiwa na uelewa mdogo, utaona mambo ya mahusiano kabila linahusika.Dah kwahiyo wazaramo wote tz nzma lao moja
Wakati wa sasa watu wanaishi kitanzania zaidi kuliko kikabila.
Hapana bali ukiwa na uelewa mdogo, utaona mambo ya mahusiano kabila linahusika.Dah kwahiyo wazaramo wote tz nzma lao moja
Moshi 🤣1.Kilimanjaro
Well saidMalezi ndiyo kila kitu kwenye ukuaji wa mtoto. Kuanzia lishe bora, maadili mema, nidhamu ya hali ya juu, nk. Humfanya mtu kuwa bora kwenye maisha yake ya ukuaji.
Acha kupotosha vijana walio na nia ya kuoa kutoka katika kabila hizoWambulu/wairaqw, wahaya.. ukioa hayo makabira mawili jiandae kushare mke.
Hii style yako ya kupigia chapuo wanawake wa mikoa km mwz, bukoba, kigoma na mbeya nimeipendaUtasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..."
1. Singida.
2. Tanga.
3. Dodoma.
4. Simiyu.
Hapo hapo utasikia wakikushauri kwamba.... "jitahidi upate mke atoke mikoa kama;
1. Mwanza
2. Bukoba
3. Kigoma
4. Mbeya
Usipotoshwe tafadhali.. Tabia nzuri au mbaya ya mwanamke haitokani na kabila lake.
Uzaonga sana..Malezi ndiyo kila kitu kwenye ukuaji wa mtoto. Kuanzia lishe bora, maadili mema, nidhamu ya hali ya juu, nk. Humfanya mtu kuwa bora kwenye maisha yake ya ukuaji.
Wewe umeoa mke kutoka Singida au Simiyu?Hizo ni kasumba za kizamani kwa miaka ya sasa hazina maana .
Sijapigia chapuo hao wanawake mkuu, soma vizuri unielewe.Hii style yako ya kupigia chapuo wanawake wa mikoa km mwz, bukoba, kigoma na mbeya nimeipenda
Ni kweli kabisaNi kweli kuwa tabia hazitokani na kabila bali tabia hutokana na makuzi na malezi aliyopitia mtu husika.
Sasa kwakuwa watanzania hawazururi sana na wana tabia.za kuishi.sehemu moja ndio husababisha tabia zao kuwa moja yaani unakuta mfano wapare au wakurya au wabondei wotewana tabia za kufanana sababu wameishi sehemu moja na kupitia makuzi na malezi yanayofanana.
Wapo wachaga wamezaliwa uswahilini huko mbagala na wanatabia sawa na wazaramo kwa 100% sababu wamekulia kwenye jamii yao.
Kabila sio hoja hoja ni mhusika makuzi yake kayatolea wapii?, hicho ndio muhimu.
Mkurya wa Rorya sio sawa na mkurya wa vingunguti.
Sijaoa ila nitaoa wowote yuleWewe umeoa mke kutoka Singida au Simiyu?