Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Dah kwahiyo wazaramo wote tz nzma lao mojaJaribu kuoa mzaramo halafu ulete mrejesho hapa.
AaahaaaKulee juu umesahau manyara (wambulu)
Kulee juu umesahau manyara (wambulu)
Na ni uongo pia.Hizo ni kasumba za kizamani kwa miaka ya sasa hazina maana .
Kuna wengine hujilea wenyewe na wakatoboa katika maisha ya ndoa kwa sababu walijitunza na kujiheshimu.Malezi ndiyo kila kitu kwenye ukuaji wa mtoto. Kuanzia lishe bora, maadili mema, nidhamu ya hali ya juu, nk. Humfanya mtu kuwa bora kwenye maisha yake ya ukuaji.
Usipotoshwe mkuuDah kwahiyo wazaramo wote tz nzma lao moja
Ila Wazaramo mhm
Acha upitoshaji ndugu.Kaoe mchaga wa Machame kwanza ndio uje utoe ushauri. Na huo ushauri usubiri at least mfikishe miaka kumi ya ndoa ndio uje na hili bandiko lako upya.
kwasasa unatupigia kelele tu.
Sawa, lakini swali langu ni hivi, hata miaka mitano ya ndoa huna harafu unaleta ushauri?Acha upitoshaji ndugu.