Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

Inawezekana ikawa na ukweli hata Wana wa Israel walionywa pia,wasioe wakaldayo.
 
Umenena kweli, maana tunakoelekea hayo maswala ya makabila yataisha, hasa kutokana na muingiliano uliopo sasa.
 
Hapo Hujataja wachaga bado, Wamachame, Wakishumundu utaskia wanaua waume zao
Waheshimiwa kama Mwigulu mzee wa tozo na Chenge mzee wa vijisenti wameoa wachaga...

Hebu niambie ni kweli wanawake wa kichaga huua waume zao?
Mbona sasa sasa mzee wa tozo na mzee wa vijisenti bado wanaishi?

Hivi utaacha lini upotoshaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…