Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

Hii style yako ya kupigia chapuo wanawake wa mikoa km mwz, bukoba, kigoma na mbeya nimeipenda
 
Ni kweli kuwa tabia hazitokani na kabila bali tabia hutokana na makuzi na malezi aliyopitia mtu husika.

Sasa kwakuwa watanzania hawazururi sana na wana tabia.za kuishi.sehemu moja ndio husababisha tabia zao kuwa moja yaani unakuta mfano wapare au wakurya au wabondei wotewana tabia za kufanana sababu wameishi sehemu moja na kupitia makuzi na malezi yanayofanana.

Wapo wachaga wamezaliwa uswahilini huko mbagala na wanatabia sawa na wazaramo kwa 100% sababu wamekulia kwenye jamii yao.

Kabila sio hoja hoja ni mhusika makuzi yake kayatolea wapii?, hicho ndio muhimu.

Mkurya wa Rorya sio sawa na mkurya wa vingunguti.
 
Ni kweli kabisa
 
Mhh kwa kiasi chake, na tabia baadhi huendana na kabla husika. Kuna makabila mpk leo huez kumshauri mtu kuoa au kuolewa.
Kila kbila lina desturi zake wenda n mbaya zaeza changia tabia ya m2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…