Tabia mbovu

Kama kawaida umetoa pole πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Vipi uko mzima ?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ni kupeana pole ndo kilichobaki
Mm mzima hofu kwako tu
Karibu biscuit wakati tunaendelea kiperuziπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20230628_180122.jpg
    571.2 KB · Views: 2
Hi
Tabia mbovu mtu unaona watu wanacheka vizuri kisa wewe mlipishana kauli una amua kwenda kupandikiza chuki achukiwe sawa atachukiwa baada ya hapo? Acha kwenda pm kwa watu kuongea umbea ili achukiwe mambo kama hayakuhusu achana nayo kabisa
Pole mkuu
Maisha ya mitandaoni ni yale yale ya mtaani. Tofauti pekee hapa unaingia kwa bando.
 
Ubaya ni kwamba hata mods sa hv wqko makini, likiwekwa bomu tu chaaap wanalifyekelea mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…